Heee. Umeitolea wapi hii Mtani?Msimu unaokuja tunamrudisha ajibu, na tuna mchukua zetu fei Toto,
U
Usihofu Esperance tutakutana nae fainal,
KuumbeHalafu Al Ahly na Esperance hawana chance ya kukutana. Kama ni kukutana watakutana kwenye finali tu.
haha jeuri ya mgao wa pesa za robo fainali izo mtani, mtaanzaje anzaje wabakisha na pesa hamna mtani na mikataba yao ndo inaishilizia. mtani hii miaka ya sasa hivi tuta watesa sanaHeee. Umeitolea wapi hii Mtani?
😅😅😅😅😅😅R.I.P makelele fc ...sisi tuliwapenda ila mazembe wamewapenda zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee. Naona mnapanga kutuvuruga zaidi.haha jeuri ya mgao wa pesa za robo fainali izo mtani, mtaanzaje anzaje wabakisha na pesa hamna mtani na mikataba yao ndo inaishilizia. mtani hii miaka ya sasa hivi tuta watesa sana
MnahahaR.I.P makelele fc ...sisi tuliwapenda ila mazembe wamewapenda zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
This is simba bwana usituonee huruma kabisaNa huu ni mtoano ujue Dada ukifunga moja kule anapaswa akashinde mbili za sijui itakuwaje hapo?
Ndio ndio Bana congomwambie wanachujua ni kukata mauno ya boringo tu
Haya Dada. All the best.This is simba bwana usituonee huruma kabisa
Hahaha imetoka moyoni kabisaHaya Dada. All the best.
Ndio 🙈🙈Hahaha imetoka moyoni kabisa
Roho mbaya fc....sisi target yetu ilikuwa ni kushiriki hatua ya makundi ambayo tulishafika na tumezidi malengo mpaka sasa...so hatuna cha kupoteza mpaka sasa sababu malengo tushayafikia...Nasubiri muurudie tena huo Ubavu nione Mkuu.
Braza sevu comment yangu lazima tufuzu. Tp kafuzu na point 11 out of 18 alituacha point mbili alafu na kumbuka kundi lake alikuwa na vijitimu vidogo ukilinganisha na kundi letu Ambayo lilikuwa kama li kifo na kumbuka tumezifunga timu zilizoshiriki fainal mwaka jana
Naona mnaanza kurudi nyuma taratibu eeeeee. Haya bana MkuuRoho mbaya fc....sisi target yetu ilikuwa ni kushiriki hatua ya makundi ambayo tulishafika na tumezidi malengo mpaka sa
unakumbuka enzi zile kipindi zime watembelea mka tunyanganya yondani, tambwe etc. hahaha kutesa kwa zamuAiseeee. Naona mnapanga kutuvuruga zaidi.