Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Mbona alijieleza sana nadhani hamkutaka kumuelewa tu huyo mzee wa watu. Ila alikuwa na sababu za msingi tu.

Sawa Mtani, sasa hivi tumepishana points 10 na nyie, tuna viporo 6, Mtani bado una matumaini ya ubingwa?
 
Hizi timu za Congo zinajiona zinastahili kuzifunga timu za Tanzania muda wote.

Kesho TP Mazembe baada ya kufungwa ni lazima wataanza kulialia,
"ohoo chumba chetu kilipuliziwa dawa"
" Ohoo this is thati"
" sisi twaenda semea nyinyi CAF"
"nyenye nyenye kumupira"

Miaka ya nyuma wakati wanatufunga walikuwa kimya kabisa.
Sasa kibao kimewageukia wao ni mwendo wa kulialia tu.

This Is Simba Broder



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom