Hizi timu za Congo zinajiona zinastahili kuzifunga timu za Tanzania muda wote.
Kesho TP Mazembe baada ya kufungwa ni lazima wataanza kulialia,
"ohoo chumba chetu kilipuliziwa dawa"
" Ohoo this is thati"
" sisi twaenda semea nyinyi CAF"
"nyenye nyenye kumupira"
Miaka ya nyuma wakati wanatufunga walikuwa kimya kabisa.
Sasa kibao kimewageukia wao ni mwendo wa kulialia tu.