Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Nawakumbusha yanga Kama ndoa yao ya kuolewa na bwana Vita wa kongo hawaikuufurahia, wajaribu Tena kuolewa na bwana huyu. Ila Kama kawaida Simba anadailute vumbi la kongo Kama kawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…