tarehe 5/6 April na marudio ni wiki moja mbele tarehe 12/13 Apriltar ngp mechi zinaanza?
Ok
we jamaa umeona mbali sanaKamati ya roho mbaya ianze kazi mala moja ya kuiombea njaa gormahia kwa maslahi mapana ya taifa
Tunataka timu nne msimu ujao.
Tutachomoka tu..huu ni mwaka wetutarehe 5/6 April na marudio ni wiki moja mbele tarehe 12/13 April
Labda ya ndondo cupSafi Sana,
Nusu Fainali Ileee
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
TuliaWe acha chezea tp mazembe iko funga simba hapa hapa home rudiana lubumbashi pigwa nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
@cutelove hiyo gari kwenye avatar ni gari gani?Mpaka sasa Mazembe kaishapigwa 4 bila CCM Kirumba na Lubumbashi droo, Nusu hiyoooooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndie anakuja kukuoa kabisa,wale wengine walikuwa wanakuchezea na kukuacha.Haya sasa Yanga,mume huyo mmepata kifaa kingine
Kwenue mpira hakuna kumtegemea mungu ni maandalizi yako tuHakuna kitu kama hicho.lazma tuingie nusu fainali.
Tukimtegemea mungu.tunapita
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh,jezi yangu ya Mazembe ya wakati ule bado ninayo subiri kesho niitafute kabatiniHaya sasa iliyopita ilikuwa do or die hii itakuwaje, itakuwa dieeeeeee
Zile goli 8 asalaĺeee
Kweli wewe ni bushaWw tulia ww..kama kawaida yenu mshahamia mazembe..
MTA tapatapa sana mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuwa rugby?Nyumbani. Tukishinda hapa,kule tunakaa wote golini