Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio utani, ni ukweli kama ulivyoelezwa na aliyekuwa mwenyekiti wa vigagula fc Aden Rage. Kitchen party fcsio dharau, ni utani wa jadi mbona sisi mnatuitaga vyura
Uchawi uko wap hapo!Klabu ya Simba imepigwa faini ya sh 500k (laki 5) kutokana na timu kuingia uwanjani kwa kutumia mlango usio rasmi katika mechi ya Ligi Kuu Vodacom dhidi ya Mbao FC iliyochezwa September 21 2017.
DuuuhSio utani, ni ukweli kama ulivyoelezwa na aliyekuwa mwenyekiti wa vigagula fc Aden Rage. Kitchen party fc