Hebu tuambie, ulitaka wasajili mchezaji gani wa ndani ili ujue kuwa wako serious.Simba hawako serious kabisa yaani sijui wamelishwa nini
KiunGo kaMa feisaL,striker kaMa mpoLe, aPO tunGeoNa kweLii wapo serious iLa ngoja tuoNe usajiLii wa naMna hii wamefaNya Last season tukawa na maumivu kiLa mecHHebu tuambie, ulitaka wasajili mchezaji gani wa ndani ili ujue kuwa wako serious.
Huyo ni zlipendwa!Kesho ni KICHUYA na taarifa nzuri ni kwamba CHRIS MUGALU THE ANIMAL atakuwepo Msimu ujao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu yule ni wonder kuli, hukumuona akiwa TBL ya ulaya kwenye makreti ya bia?Ila sisi Simba Sc tunafanya usajili wa kijinga sana msimu huu, wenzetu wamesajili WONDER KID Bigirimana kutoka UK halafu sisi tuko busy na wachezaji wa ndani tu.
HahahahaMkuu yule ni wonder kuli, hukumuona akiwa TBL ya ulaya kwenye makreti ya bia?
Dah!...sawaDoh!, Nyie Mkitufunga Na Kuchukua Ubingwa Wowote Ule Msimu Ujao Mniite Mbwa. [emoji23]
Mayele hachezi timu ya taifa ya DRC, makocha wanajua sio tishio kimataifaWakati DRC inacheza na Stars kwa Mkapa ulikuwa kijijini kwenu Mbinde?
Hata Henock Inonga ana magoli mawili, lakini ndiye beki bora 2022Mechi 25 magoli 2 dooooh
Hao kama ndo wachezaji gani?KiunGo kaMa feisaL,striker kaMa mpoLe, aPO tunGeoNa kweLii wapo serious iLa ngoja tuoNe usajiLii wa naMna hii wamefaNya Last season tukawa na maumivu kiLa mecH
Ww Leo jifanye kocha umepewa Moses Phiri na Laslaus Kambole utamchagua nano???Kwani Moses Philli na Victor Akpan ni waTanzania au sielewi maana ya foreigner?
Mkuu ungemaliza kwanza kunena kwa lugha ndipo uandikeKiunGo kaMa feisaL,striker kaMa mpoLe, aPO tunGeoNa kweLii wapo serious iLa ngoja tuoNe usajiLii wa naMna hii wamefaNya Last season tukawa na maumivu kiLa mecH
Wanajenga timuSimba hawako serious kabisa yaani sijui wamelishwa nini
Dah nimecheka sana jamaa ananena kwa lughaMkuu ungemaliza kwanza kunena kwa lugha ndipo uandike
Anagharamikia timu halafu washabiki wanamnanga.Hahaha safari hii Mwamedi kawaweza,majivuno yote kwinshnei.
Ndio..kesho bahari inakaukaAfrica imesimama
Kesho ni KICHUYA na taarifa nzuri ni kwamba CHRIS MUGALU THE ANIMAL atakuwepo Msimu ujao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hawana hela ya usajili