Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umeeleza kustushwa na taarifa za Kocha wao Mkuu Hamdi Miloud Raia wa Algeria na Ufaransa kutambulishwa kama Kocha mpya wa Yanga bila kufuata utaratibu.
Singida Black Stars walimtangaza Hamdi Miloud kuwa Kocha wao mpya mwezi mmoja uliopita kwa Mkataba wa mwaka mmoja na nusu.
===
Tumepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa taarifa ya kocha wetu Hamdi Miloud kutambulishwa na Klabu ya Yanga bila kufuata utaratibu.
Uongozi wa Klabu unalifuatilia jambo hili, tunawaomba mashabiki na wapenzi wa Singida Black Stars wawe watulivu wakati uongozi ukifanyia kazi jambo hili.
Idara ya Habari na Mawasiliano
Singida Black Stars SC
Soma, Pia