Mshambuliaji hatari angeanzaje kutemwa na club yake ambayo imecheza mpaka fainali?Kwamba kambole ni mshambuliaji hatari.Hahaha u can't be serious mkuu
Sasa kambale ana maajabu gani?Aisee Iigi yetu imekua kidogo, Ligi ina watu kama MAYELE, BANGALA, KAMBOLE, AUCHO, CHAMA, PHIRI aiseee
Jangwani wanasema heri ukutane na Mayele kuliko ukutane na KamboleKwamba kambole ni mshambuliaji hatari.Hahaha u can't be serious mkuu
mchezaji mwenyew ana tugoli tuwili misimu miwiliNyie Makolo Hivi Ndivyo Mchezaji Anatambulishwa Sio Kukenua Mimeno Kaa Chizi! [emoji23]View attachment 2263228
😂😂😂Morrison Tulimtoa Mtaani Tukamleta Jangwani Akaupiga Mwingi Mkaanza Kuleta Shobo Mkarubuni Mkafanikiwa Kumchukua, Kwaio Hata Huyu Ni Suala La Muda Tu Kwenu Makolo Kuanza Kumtamani Na Kutaka Kumsainisha [emoji41]
Nakwambiaje Huyu Ni Suala La Muda Tu Mtaanza Kushoboka Wenyewe.mchezaji mwenyew ana tugoli tuwili misimu miwili
uto hamna akili
hana maajabu misimu miwili goli mbili kwi kwiAkuna Kukenua Kenua Na Kucheka Cheka Kama Musenge, Striker Kambole [emoji460] [emoji91]View attachment 2263256
ashoboke nani mmesajili dudeNakwambiaje Huyu Ni Suala La Muda Tu Mtaanza Kushoboka Wenyewe.
Okay, Ni Suala La Muda Tu Mtaanza Kushoboka Hapa, Na Tutamuona Pia Bwana Phiripo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakili msomi.
Kuzeni kipaji cha Kambale kwanza. Kwasasa hana sifa kucheza Simba
Yanga bingwa,Yanga still unbeaten,Mayele anaongoza kwa magoli nplMshambuliaji hatari angeanzaje kutemwa na club yake ambayo imecheza mpaka fainali?
Bila shaka kaizer chiefs wamegundua ipo sababu ya wao kushindwa kuchukua kombe kwenye fainali ya CAF federation a sababu hiyo imechangiwa na wimbi la wachezaji mizigo
Timua timua imeanza sasa kila mchezaji ambaye alionekana kimeo ametimuliwa, ajabu kuna timu nyingne inakuja kumpokea na kumpa sifa tele ambazo naamini hata kaizer watakuwa wanashangaa
Waambie hao makolo,morisson anasajiliwa na Yanga miaka 2 alikua mtaani tu,kuja pale wakamrubuniMorrison Tulimtoa Mtaani Tukamleta Jangwani Akaupiga Mwingi Mkaanza Kuleta Shobo Mkarubuni Mkafanikiwa Kumchukua, Kwaio Hata Huyu Ni Suala La Muda Tu Kwenu Makolo Kuanza Kumtamani Na Kutaka Kumsainisha [emoji41]
Kwa hiyo ni mzigo kama ilivyokuwa kwa Chama pale Berkane?Mshambuliaji hatari angeanzaje kutemwa na club yake ambayo imecheza mpaka fainali?
Bila shaka kaizer chiefs wamegundua ipo sababu ya wao kushindwa kuchukua kombe kwenye fainali ya CAF federation a sababu hiyo imechangiwa na wimbi la wachezaji mizigo
Timua timua imeanza sasa kila mchezaji ambaye alionekana kimeo ametimuliwa, ajabu kuna timu nyingne inakuja kumpokea na kumpa sifa tele ambazo naamini hata kaizer watakuwa wanashangaa