Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

Hii haiwezi mfanya Kambale awe amefunga angalau goli 3 msimu mzima
IMG_20220615_223300_623.jpg
 
Morrison Tulimtoa Mtaani Tukamleta Jangwani Akaupiga Mwingi Mkaanza Kuleta Shobo Mkamrubuni Mkafanikiwa Kumchukua, Kwaio Hata Huyu Ni Suala La Muda Tu Kwenu Makolo Kuanza Kumtamani Na Kutaka Kumsainisha [emoji41]
Morrison hakuwa na rekodi mbaya za kucheza miaka miwili goli moja
 
Back
Top Bottom