Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
bongoland hyo mkuu, tengeneza tatizo, litatue, watu washangalieHii ndiyo bongo....wanakuweka attention kwa habari ijayo
Tutafika tu nchi ya ahadi
sikutegemea koment kama hii kutoka [/QUOTE]sikutegemea koment kama hii kutoka kwako.Hizi timu bwana, inakuwaje mwajiriwa anapewa kandarasi kama vile ni mchezaji? Na signing fee yake ipoje?
Mnawakuza hao wasemaji, ajira zao hazitakiwi kuwa tofauti na za mhasibu au mfagizi? Eti mkataba wa miaka miwili? Ndiyo maana kina Haji wanajiona wako level za CEO, wanajitapa wana endorsements kuzidi hata wachezaji, we umeona wapi kitu kama hicho kwa mwajiriwa wa klabu ya mpira?sikutegemea koment kama hii kutoka kwako.
duuu..sasa mtu kakuzwa kwa kupewa mkataba wa miaka miwili?Mnawakuza hao wasemaji, ajira zao hazitakiwi kuwa tofauti na za mhasibu au mfagizi? Eti mkataba wa miaka miwili? Ndiyo maana kina Haji wanajiona wako level za CEO, wanajitapa wana endorsements kuzidi hata wachezaji, we umeona wapi kitu kama hicho kwa mwajiriwa wa klabu ya mpira?
unalala sana mkuu...Mimi ni mpenzi wa mpira tena mpenzi wa Klabu pendwa ya Wananchi. Nimesikitishwa sana na taarifa ya Ali Kamwe kutangaza kujiuzulu kuwa msemaji wa Klabu ya Wananchi.
Ninamshauri Rais wa Yanga, Eng. Hersi kufanya kila njia kuhakikisha Ali Kamwe anaendelea na majukumu yake katika Klabu ya Yanga.
Huyo kijana kusema kweli amei brand Klabu ya Yanga na hakuna aliyefanya kazi nzuri kama Ali Kamwe. Manara akirudi Yanga nashauri apewe majukumu mengine. Ali Kamwe ni kipenzi cha mashabiki na hatutaki kumpoteza.