Klabu ya Yanga SC yamfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic

Klabu ya Yanga SC yamfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic

Hyo timu imekuwa kama danguro kila mtu anafanya anavyojua yeye.
Wengine wanaitisha Press conference kujadili mkataba wa Morrison na Simba wengine wanajadili kumfukuza kocha.
Yaani ni mtifuano tu kila mtu ana mapembe..
Yanga mkitaka mfanikiwe mfukuzeni gsm.
Anawaharibia timu yenu..
Timu wameshaiteka hyo.
vp kuhusu moooo
 
Moo ni muwekezaji anayejulikana kisheria.
Gsm ni nani pale yanga?
MO sio Mwekezaji kwakua bado mchakato hauja kamilika, mbaka Sasa kisheria MO nikama mfadhili.mda wowote anaweza kusepa na asiulizwe.
 
Back
Top Bottom