Hyo timu imekuwa kama danguro kila mtu anafanya anavyojua yeye.
Wengine wanaitisha Press conference kujadili mkataba wa Morrison na Simba wengine wanajadili kumfukuza kocha.
Yaani ni mtifuano tu kila mtu ana mapembe..
Yanga mkitaka mfanikiwe mfukuzeni gsm.
Anawaharibia timu yenu..
Timu wameshaiteka hyo.