Umesahau Lomalisa Mtambala Joyce1) Diarra
2) Bangala
3) Aucho
4) Chico
5) Makambo
6) Mayele
7) Moloko
8) Morrison
9) Kambole
10 Birigimana
11) Aziz k
12 Djuma Shaban
Wa 14 wakina nani au wanasajili wengine?
Sawa anakuwa wa 13 je huyo mmoja nani?Umesahau Lomalisa Mtambala Joyce
Hio press umesikiliza peke yako ? wapi wamesema Yacouba kaachwa?Yacouba Sogne kiherehere cha kuvaa Jezi ya Aziz Ki na kupita huku na kule kimemuisha kabisa yaani.
Kwa maamuzi haya ya klabu, yamkini hatakaa aje asahau.
Yakouba yuko wapi hapoSawa anakuwa wa 13 je huyo mmoja nani?
Unataka kila mtu acheze Yanga?Yacouba alikua anampambania Aziz kwioo kumbe yeye ndo anampisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Joyce sio wa yanga princess?Umesahau Lomalisa Mtambala Joyce
Moja ya sharti la Azizi K ili asajiliwe Yanga si alisema lazima Yacouba asiachwe?, Kulikoni tena wanakiuka masharti ya makubaliano.Yacouba Sogne kiherehere cha kuvaa Jezi ya Aziz Ki na kupita huku na kule kimemuisha kabisa yaani.
Kwa maamuzi haya ya klabu, yamkini hatakaa aje asahau.
Soma ulichoandika kabla ya kukurupukaJoyce na Yacouba ndo wanaongeza idadi ya wachezaji 14 wa kigeni, kwa mujibu wa Kikosi chako hapo.
Wanaachwa hao wawili ili kubaki na wachezaji 12 kikanuni na sheria za soka.
Mmoja Ni yacoubaSawa anakuwa wa 13 je huyo mmoja nani?
Subiri shughuri yake utakavyoshughuriliwa ligi ikanza ndiyo utajua Ni yanga princes au Ni PrinceJoyce sio wa yanga princess?
Chico hapo namba nne, kolo hata kuona huoniSawa anakuwa wa 13 je huyo mmoja nani?
We ndo umedandia gari kwa mbele bila kujua linaenda wapi.!Soma ulichoandika kabla ya kukurupuka
Hivi mzazi kweli unamuitaje mwanao wa kiume Joyce,na wewe Joyce kwa nini usibadili jinaSubiri shughuri yake utakavyoshughuriliwa ligi ikanza ndiyo utajua Ni yanga princes au Ni Prince
Alitaka wamuache yangaYacouba Sogne kiherehere cha kuvaa Jezi ya Aziz Ki na kupita huku na kule kimemuisha kabisa yaani.
Kwa maamuzi haya ya klabu, yamkini hatakaa aje asahau.
Msome vizuri utaelewa,yocuba yupo kwenye listi ya 12 na yupo kwenye list ya wanaoachwaWe ndo umedandia gari kwa mbele bila kujua linaenda wapi.!
Amejibiwa changaule hapo ambaye alileta idadi ya wachezaji 12, akauliza wapi wanaotimiza idadi ya wachezaji 14 au watasajili?
Jibu lake hili hapa kuwa Joyce na Yacouba ndo wanaongeza idadi ya wachezaji 14.
Wanaachwa hao wawili ili kubaki na wachezaji 12, wapi hujaelewa?
Dada JoyceUmesahau Lomalisa Mtambala Joyce
Utamjua Ni Dada au Kaka mtakavyokutana uwanjaniDada Joyce