Klabu ya Yanga yatangaza rasmi kuwatema wachezaji Yacouba na Chiko

Yacouba Sogne kiherehere cha kuvaa Jezi ya Aziz Ki na kupita huku na kule kimemuisha kabisa yaani.

Kwa maamuzi haya ya klabu, yamkini hatakaa aje asahau.
Hio press umesikiliza peke yako ? wapi wamesema Yacouba kaachwa?
 
Kwan yanga si walisha ambiwa tangia awali ya kuwa hao wachezaji wao spare mkononi
 
Hio press umesikiliza peke yako ? wapi wamesema Yacouba kaachwa?
.
Screenshot_20220719-141030~2.jpg
 
Yacouba Sogne kiherehere cha kuvaa Jezi ya Aziz Ki na kupita huku na kule kimemuisha kabisa yaani.

Kwa maamuzi haya ya klabu, yamkini hatakaa aje asahau.
Moja ya sharti la Azizi K ili asajiliwe Yanga si alisema lazima Yacouba asiachwe?, Kulikoni tena wanakiuka masharti ya makubaliano.
 
Sawa anakuwa wa 13 je huyo mmoja nani?
Joyce na Yacouba ndo wanaongeza idadi ya wachezaji 14 wa kigeni, kwa mujibu wa Kikosi chako hapo.

Wanaachwa wawili ili kubaki na wachezaji 12 kikanuni na sheria za soka.
 
Joyce na Yacouba ndo wanaongeza idadi ya wachezaji 14 wa kigeni, kwa mujibu wa Kikosi chako hapo.

Wanaachwa hao wawili ili kubaki na wachezaji 12 kikanuni na sheria za soka.
Soma ulichoandika kabla ya kukurupuka
 
Soma ulichoandika kabla ya kukurupuka
We ndo umedandia gari kwa mbele bila kujua linaenda wapi.!

Amejibiwa changaule hapo ambaye alileta idadi ya wachezaji 12, akauliza wapi wanaotimiza idadi ya wachezaji 14 au watasajili?

Jibu lake hili hapa kuwa Joyce na Yacouba ndo wanaongeza idadi ya wachezaji 14.

Wanaachwa hao wawili yaani Yacouba na Chiko ili kubaki na wachezaji 12, wapi hujaelewa?
 
Subiri shughuri yake utakavyoshughuriliwa ligi ikanza ndiyo utajua Ni yanga princes au Ni Prince
Hivi mzazi kweli unamuitaje mwanao wa kiume Joyce,na wewe Joyce kwa nini usibadili jina
 
Yacouba Sogne kiherehere cha kuvaa Jezi ya Aziz Ki na kupita huku na kule kimemuisha kabisa yaani.

Kwa maamuzi haya ya klabu, yamkini hatakaa aje asahau.
Alitaka wamuache yanga
 
We ndo umedandia gari kwa mbele bila kujua linaenda wapi.!

Amejibiwa changaule hapo ambaye alileta idadi ya wachezaji 12, akauliza wapi wanaotimiza idadi ya wachezaji 14 au watasajili?

Jibu lake hili hapa kuwa Joyce na Yacouba ndo wanaongeza idadi ya wachezaji 14.

Wanaachwa hao wawili ili kubaki na wachezaji 12, wapi hujaelewa?
Msome vizuri utaelewa,yocuba yupo kwenye listi ya 12 na yupo kwenye list ya wanaoachwa
 
Back
Top Bottom