Klabu ya Yanga yatangaza rasmi kuwatema wachezaji Yacouba na Chiko

Msome vizuri utaelewa,yocuba yupo kwenye listi ya 12 na yupo kwenye list ya wanaoachwa
Kwenye list ya changaule Yacouba na Joyce hawakuwataja, ndo walikosekana hapo.

Wanaochwa ni Yacouba na Chiko ambayo wanatimiza idadi ya wachezaji 14..!

Issue ilikuwa ni kukosekana kwa wachezaji wawili, kwenye list yake.
 
Yacouba Sogne kiherehere cha kuvaa Jezi ya Aziz Ki na kupita huku na kule kimemuisha kabisa yaani.

Kwa maamuzi haya ya klabu, yamkini hatakaa aje asahau.
Hebu tupia akiwa ameivaa umbea ukae vizur
 
Tembelea YouTube kajionee vilivyo wakati Yacouba anaingia Benjamin Mkapa.

Huku akiwa amevaa Jezi ya Azizi Ki
Lakini waandishi uchwara pamoja na mashabiki wa Simba mkadai kuwa Aziz K katoa masharti kuwa ili asajiliwe Yanga, basi lazima Yacouba abakie Yanga. Sasa inqkuaje tena?
 
1) Diarra
2) Bangala
3) Aucho
4) Chico
5) Makambo
6) Mayele
7) Moloko
8) Morrison
9) Kambole
10 Birigimana
11) Aziz k
12 Djuma Shaban

Wa 14 wakina nani au wanasajili wengine?
Wachezaji wako hata huwajui mbona hujaweka Joyce na youkub
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…