Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #41
Kwenye list ya changaule Yacouba na Joyce hawakuwataja, ndo walikosekana hapo.Msome vizuri utaelewa,yocuba yupo kwenye listi ya 12 na yupo kwenye list ya wanaoachwa
Wanaochwa ni Yacouba na Chiko ambayo wanatimiza idadi ya wachezaji 14..!
Issue ilikuwa ni kukosekana kwa wachezaji wawili, kwenye list yake.