sio uwe makini nafikiri inabidi uwe zaidi ya makini,Wazungu bhana! Yaani ukiishi nao, inabidi uwe makini sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio uwe makini nafikiri inabidi uwe zaidi ya makini,Wazungu bhana! Yaani ukiishi nao, inabidi uwe makini sana.
Wana mambo ya kidwanzi eti kumshika mwanamke makalio wana mind ila mwanaume kushika ukuta wanaona fairWazungu bhana! Yaani ukiishi nao, inabidi uwe makini sana.
Binafsi, ulaya mimi siwezi kuishi [emoji23][emoji1787]
Mimi sasa hivi ningekuwa mfungwa , kuna siku moja jirani yangu wakike alinigongea mlango usiku na kanga moja tu matako tepetepe, nikatoka ananiambia anaomba charger ya simu ili akabust simu yake basi nikampatia kisha bila mimi kutarajia nikamshika shika yale matako yake kama vile nichagua maparachichi sana kisha akaondoka baada ya hapo kilichotokea sisemiWanaume watanzania tukihamia ulaya asilimia kubwa tutageuka wafungwa