Klabu zataka ligi kuu, FA zifutwe

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Hii habari ilianza kama utani baada ya baadhi ya mashabiki ambao walishakata tamaa ya ubingwa kwa timu zao kuja na wazo kama hilo lakini sasa ni rasmi baadhi ya vilabu vya ligi kuuu vikiongozwa na yanga vinapendekeza matokeo ya ligi kuu ifutwe kama lilivyoeleza gazeti la mwanaspoti.Kiongozi wa yanga aliyetoa mapendekezo hayo ni Mwakalebela huku viongozi wa timu nyingine ikiwamo Lipuli ya Iringa, na Mbeya city wakiwa na mawazo yanayofana na hayo
chanzo ni gazeti la mwanaspoti
 
Nilidhani EPL kumbe ni vpl
 
Mwakalabela angepambana na hali ya Yanga,yeye na wenzake hawatoshi kwenye maamuzi makubwa
 
Kwa yanga wangefurahi sana ligi kufutwa, kwa kuwa hawana chao, Nina mashaka hata kombe la azam shirikisho kama watatoboa kwa hiyo Ni kiu ya viongozi kuona ligi inafutwa, ili wapate cha kuwaambia mashabiki, wawadanganye tena,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ndo mwenye maamuzi ya ligi kuu hao wengine ni vikaragosi
Simba ndo mwenye maamuzi ya ligi kuu hao wengine ni vikaragosi
Uko sahihi kabisa..hujakosea hata kidogo...Simba ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho...inaamua pia refa gani achezeshe mechi zake....inaamua pia kuhusu ratiba ya ligi...maneno yakizidi kuwa inapendelewa in uwezo pia wa kuelekeza marefa waboronge kwenye mechi za wapinzani wake I'll ionekane anayependelewa siyo Simba peke yake...marefa wanaokubali wanalipwa malipo kipindi chote walichofungiwa...Simba inaweza pia kusambazs video mitandaoni kuhusu wachezsji wa timu pinzani wakilalamika kuhusu msdai kwa kiongozi...
 
Usiwe mvivu wa kufikiria ndg [emoji38] ,Mwakalibela anacheza na akili za mashabiki wa Yanga,ya kutafuta huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…