rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Hii habari ilianza kama utani baada ya baadhi ya mashabiki ambao walishakata tamaa ya ubingwa kwa timu zao kuja na wazo kama hilo lakini sasa ni rasmi baadhi ya vilabu vya ligi kuuu vikiongozwa na yanga vinapendekeza matokeo ya ligi kuu ifutwe kama lilivyoeleza gazeti la mwanaspoti.Kiongozi wa yanga aliyetoa mapendekezo hayo ni Mwakalebela huku viongozi wa timu nyingine ikiwamo Lipuli ya Iringa, na Mbeya city wakiwa na mawazo yanayofana na hayo
chanzo ni gazeti la mwanaspoti
chanzo ni gazeti la mwanaspoti