Klabu zilizosajili wachezaji, kocha wa kigeni zatakiwa kuwasilisha vibali vya waajiriwa hao Uhamiaji

Yanga wamemuombea kibali Morrison?
 
Yanga wanadai Morison ni mchezaji wao wamemtambulisha kwenye tamasha lao ns pia wanadai wataenda hadi cas cha ajabu hawajamlipia ada tff ya milioni 4 kama kanuni zinavyotaka.
Kama kweli mchezaji wao mbona wanashindwa kumlipia milioni 4 ndio wataweza kulipia gharama za cas ambazo ni milioni 40 kwa jaji mmoja hii inaonyesha mashabiki wa utopolo walivyo wajinga.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…