Klabu zote za Ligi Kuu zaagizwa kuwasilisha CV za Makocha TFF

Klabu zote za Ligi Kuu zaagizwa kuwasilisha CV za Makocha TFF

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limezitaka Klabu zote za Ligi Kuu kuwasilisha wasifu au CV pamoja na vyeti vya Makocha wao wote hadi kufikia Septemba 15, 2020

Taarifa iliyotolewa na TFF imesema mchakato huo unahusisha Kocha Mkuu, Kocha Msaidizi, Kocha na Makipa na Kocha wa Viungo

1599741995511.png
 
Back
Top Bottom