beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limezitaka Klabu zote za Ligi Kuu kuwasilisha wasifu au CV pamoja na vyeti vya Makocha wao wote hadi kufikia Septemba 15, 2020
Taarifa iliyotolewa na TFF imesema mchakato huo unahusisha Kocha Mkuu, Kocha Msaidizi, Kocha na Makipa na Kocha wa Viungo
Taarifa iliyotolewa na TFF imesema mchakato huo unahusisha Kocha Mkuu, Kocha Msaidizi, Kocha na Makipa na Kocha wa Viungo