mwanakijiji, mwambie mrema since jk has to fill mbatia spot, upinzani uweke mikakati mikubwa mno from now wailalamikie ile list ya ufisadi ili jk apanue mabadiliko ya baraza la mawaziri.
Haya Mwanakijiji!.Naona Mzee Mrema amekufafanulia nafasi yako kwenye jamii ya Kitanzania.Hongera sana Mkuu,Nafasi yako na kalamu yako inaeleweka!.Take Five Mkuu!!!.
Geeque,
Shukran kubwa mkuu na hakika yanibidi kumpongeza mzee wetu Mwanakijiji ktk mtililiko mzima wa mahojiano.
Nilichopenda zaidi ni somo la kuwa mapinduzi haya ya kifkra yasichukuliwe kama ni mapinduzi ya Wapinzani bali ni yetu sote tunaoona ubadhilifu huu wa mali ya Umma.
Hii ndiyo message ambayo wengi tumeshindwa kuielewa na kila siku hoja zetu zimekuwa zikijengwa kwa kutazama rangi na alama za chama.