KLH Exclusive: Augustine Lyatonga Mrema Anaunguruma..

KLH Exclusive: Augustine Lyatonga Mrema Anaunguruma..

Status
Not open for further replies.
------ malenga wetu mkombozi ------

------ Tunasubiria hilo shairi ----


SteveD.
 
Sijaangalia hii interview, lakini madamu wananchi wamekubali hapa nami nasema congrats mzee wa kaya, twende twende kabisa.

Yaani wapinzani wameshinda viti viwili tu, hapa ndipo nisipoelewa siasa za bongo! Yaani kelele zote hizi wananchi bado wanawakubali CCM kiasi hiki, baosi sasa naelewa kwa nini rafiki yangu wa Nigeria sisi watanzania tumelaaniwa linapokuja swala la kuchagua viongozi! Tunajifariji, hatufiki ng'o!
 
---------SWADAKTA KABISAAAAAA-----------

Nimelipenda​

SteveD.
 
Mwanakijiji punguza jazba kidogo, sometimes unakuwa kama umepanda na mashetani...
ushauri tuuu

By the way thanx for kibao cha zilipendwa "jogoo la shamba" umenikumbusha ujana wangu
 
mwanakijiji... taking a bow.!! thank you thank you.. thank you... !
 
Huo wimbo wa Mbilia umenikumbusha ugali wa yanga early 80's na ile chakula ya wanyama "bulga" nadhani ilikuwa inaitwa... njaa hiyo sito isahau!!! Tumetoka mbali...
Ahsante sana.

SteveD.
 
Mwanakijiji eeh...tuage na freestyle basi....
Inaweza ikawa kuhusu chochote....Buzwagi, kasungura, ndege...
 
Damn Mkjj....now you are killin it man... that's some flippin heavy tune ma soldier! I'm Luvin it!

#nipae angani.... wooow...

SteveD.
 
Viti viwili tu kati ya viti 16? Hivi ni nini explaination ya hii kitu, I mean ningeelewa 10 kwa sita,

yaani CCM 14 Upinzani 2!

Very Depressing
 
Mzee ES, hayo si matokeo yote, ni matokeo ambayo Mrema alikuwa nayo as we went on air.. so matokeo yanaweza kubadilika..
 
Mkuu heshima mbele, basi ngoja tusubiri mkuu, lakini kwa mwendo huu upinzani kunahitajika mabadiliko makubwa, na change of strategies, maana this is too much mkuu!
 
Mzee, its not too much, kwa sababu matokeo yote hayajatoka bado. Yakitoka ndipo tutaona kama its too much or not. Hata hivyo, kwa chama kinachopendwa na chenye nguvu kama CCM kukosa viti viwili, I think it speaks more about CCM than wapinzani. Ingekuwa ni kauli nzito kama wapinzani wasingeibuka na kiti hata kimoja, then that would have been too much..
 
Mzee, its not too much, kwa sababu matokeo yote hayajatoka bado. Yakitoka ndipo tutaona kama its too much or not. Hata hivyo, kwa chama kinachopendwa na chenye nguvu kama CCM kukosa viti viwili, I think it speaks more about CCM than wapinzani. Ingekuwa ni kauli nzito kama wapinzani wasingeibuka na kiti hata kimoja, then that would have been too much..

Nakubaliana nawe Mwjj kwamba CCM ni chama chenye nguvu...hasa za dola na mtandao wake chenyewe. It is not easy to beat CCM as people would hope.

Katika hali halisi unapokuwa na mkuu wa mkoa(mkono wa rais), mkuu wa wilaya(mkono wa rais). Hawa wakikaa pamoja na wenyeviti wa CCM katika maeneo yao, huku wakilindwa na polisi, sio ngumu kuona CCM ilivyo 'mighty political party'.

Pole pole tutafika tu, yaani wananchi wawe huru kuchagua wanachokitaka.
 
Mie sioni cha kushangaza kama JK alishinda kwa kishindo cha 80% na leo tunaona madudu anayoyafanya,hata ikiwa 2upinzani kwa 14CCM ni sawa tu.Wacha tupate kile tunachostahili mpaka akili zitakapotukaa sawa. Tunaopigwa bao ni watanzania wote.Kwani hayo mabilioni yanayoibiwa benki kuu niyawapinzani?
 
Wale walioyakosa mahojiano yangu na Bw. Mrema, yatarushwa kesho kwenye KLH News..
 
Wacha tupate kile tunachostahili mpaka akili zitakapotukaa sawa. Tunaopigwa bao ni watanzania wote.Kwani hayo mabilioni yanayoibiwa benki kuu niyawapinzani?


Yaaani, weee acha tu!
 
Mzee, CCM hawana uchungu na fedha za umma, ila zingechotwa toka hazina ya CCM, leo hii mngesikia mtu katuaga kwa "ugonjwa wa mshtuko". Hela za CCM haziliki!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom