Mzee, its not too much, kwa sababu matokeo yote hayajatoka bado. Yakitoka ndipo tutaona kama its too much or not. Hata hivyo, kwa chama kinachopendwa na chenye nguvu kama CCM kukosa viti viwili, I think it speaks more about CCM than wapinzani. Ingekuwa ni kauli nzito kama wapinzani wasingeibuka na kiti hata kimoja, then that would have been too much..