Kliniki ya HIV

Wapendwa ndugu zangu nawashukuru wote mliochangia kuweza kunisaidia. Jumatatu niliweza kufika Amref na kupatiwa huduma zote. Bi. Nyakomba nakushukuru kipekee. Mungu awabariki wote mliochangia.
 
Tunashukuru kwa mrejesho, kila la kheri.
 
wanatoa dawa za TB?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…