- Thread starter
- #21
Pole na majukumu. Nashukuru nitaenda amref.sorry bi mkora... ckuwa hewani. Muhimbili Lol. hivi amref pia c kunaclinic nishawahi Pima afya pale dia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole na majukumu. Nashukuru nitaenda amref.sorry bi mkora... ckuwa hewani. Muhimbili Lol. hivi amref pia c kunaclinic nishawahi Pima afya pale dia
Wapendwa ndugu zangu nawashukuru wote mliochangia kuweza kunisaidia. Jumatatu niliweza kufika Amref na kupatiwa huduma zote. Bi. Nyakomba nakushukuru kipekee. Mungu awabariki wote mliochangia.
wanatoa dawa za TB?Kuna clinic ipo karibu na traffick makao makuu...inaitwa IDC.....ukifika mitaa ya stesheni ulizia traffic makao makuu ukiwa hapo traffic ulizia kituo cha afya ni jirani kabisa...kwa nini uende private kulipia wakati dawa ni bure....nilikua mfanyakazi wa kituo hicho ila nimeondoka....but najua utapata huduma uwe na kadi yako tu.