Kliniki Ya Walimu Na Samia kushughulikia kero za walimu Arusha

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Walimu na Wastaafu Wenye Kero Mbalimbali wamejitokeza Kliniki Ya Walimu Na Samia Mkoani Arusha Kusikilizwa Na Kikosi KAZI Kutatua Kero zao

Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini
 
Hata sisi Maafisa Forodha(Customs Officers) tunahitaji hio kliniki.
 
Hii nchi ina ujinga mwingi sana.
Mwaka huu tu taasisi zenye jina la Samia ziko zaidi ya mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…