Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 306
- 165
Habari, unapatikana wapi?tuwasiliane inboxMtu akininunulia ardhi kwa jina lake, natumia njia zipi kupata hati yenye jina langu?
Habari peno hasegawa tunapenda kukufahamisha kuwa kwa sasa huduma za ardhi Mkoa wa Mbeya zinatolewa kupitia kliniki ya ardhi Wilaya ya Chunya kata ya Matundasi. Wataalamu wa ardhi wapo katika viwanja vya Matundasi A, Itumbi na Makongolosi mpaka tarehe 3, Octoba 2026. Karibu upate elimu, ushauri na huduma zote zinazohusu ardhi.KLINIKI ZA ARDHI: Fikeni Vijiji vya Matondo na Itumbi,kilichopo Kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya,Mkoa wa Mbeya, Mgekuwa mmefanya kazi ya maana na kumsaidia Rais Samia kwa asilimia 100,kwa kuwapa tabasamu wananchi wa chunya!
(Asante kwa Majibu mazuri!*Habari peno hasegawa tunapenda kukufahamisha kuwa kwa sasa huduma za ardhi Mkoa wa Mbeya zinatolewa kupitia kliniki ya ardhi Wilaya ya Chunya kata ya Matundasi. Wataalamu wa ardhi wapo katika viwanja vya Matundasi A, Itumbi na Makongolosi mpaka tarehe 3, Octoba 2026. Karibu upate elimu, ushauri na huduma zote zinazohusu ardhi.
#ArdhiKilinikiKidijiti#
#e-ardhi:hudumapopote#
Katibu Mkuu ndiye angesaidia kwani ndiye Mtendaji ... Masuala ya Ardhi ni kero kubwa sana !!Tatizo kubwa!"waziri wa wizara hii na ukituma taarifa Jf,hashituki wala hajibu.
Sijajua tatizo ni yeye au ni Katibu Mkuu wake!