KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

Hivi hili shirika nauli yake ni bei gani?? Kwenda Dubai au Thailand au Vietnam huko kusaka life
 
Ipo siku Bashite atavamia ofisi Yao na kutaka apewe hela
 
Ni sawa na kusema Dar Express bonge la basi, KLM ni shirika na siyo aina ya ndege, Bonge la ndege ulipaswa kutaja aina ya ndege uliopanda inayoendeshwa na Shirika la klm kama ni Air Bus (type gani), Boeing type gani nk. got it ?
Mzee Mbona una complicate maisha? Wasomi bana….wewe unadhani mwenzako yupo sophisticated kama wewe kwenye haya mambo ya ndege? Jamaa anajua alipanda KLM. Hizi mbwembwe za Airbus siu
Jui Boeing zinatoka wapi?
 
Back
Top Bottom