KLM waomba radhi kufuatia kuchapisha taarifa ya kuwa kuna Civil Unrest Nchini Tanzania

KLM waomba radhi kufuatia kuchapisha taarifa ya kuwa kuna Civil Unrest Nchini Tanzania

21Century bado unawaza mambo ya ukoloni???
Change ur mind
Nina hakika 100% hujui maana ya 'Ukoloni'.

Which is really a pity to have individuals as ignorant as yourself in today's society. Those colonialists love people like you, because you make their work easier

You really have no clue what today's colonialism looks like.
I suggest to you, take time to appraise yourself on the issue.

Next time, don't quote me when you do not have a handle on the subject matter being discussed.
 
hiyo official apology kutoka KLM iko wapi sasa? sisi tutaaminine.
 
Yule kibaraka wa mabeberu alidhani ujio wake utaleta civic unrest kwa hiyo mabwana zake wakatoa matangazo, watu wamempotezea, hakuna cha unrest, wala jamaa yake. Amalize tu hako ka ziara kake asepe kurudi kwa shoga yake rob amster atuachie Tanzania yetu.
 
CCM kuna majuha wengi sana
 
Tunataka kuona hiyo apology document. Au Mbarawa amepigiwa simu wakamalizana tu kishkaji? Wali-post shutuma publicly, apology tunaitaka iwe hivyo hivyo pia

this Prof Mbarawa guy ndio maana JPM alishamwonaga ni douchebag akamfuta hiyo kazi... karudishwa ujenzi kwa sababu ni rahisi kupitisha mambo yao ukiwa na waziri mzigo kama ule na pia ni Mzanzibar mwenzao... just a deer in the headlight, clueless.
 
KLM ni wakubwa kuliko Wizara husika na sirikali yake....haiwezekani nikosee mimi na pia mimi ndio niombewe msamaha kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom