Nina hakika 100% hujui maana ya 'Ukoloni'.21Century bado unawaza mambo ya ukoloni???
Change ur mind
CCM ina vijana wapumbavu sanaChadema wakiona hii, lazima wajumlishe na kwenye katiba mpya
Unathibitisha kuwa CCM ni Chama Cha Majuha.Wanatumika na vyama vya upinzani, hasa ufipa
Uholanzi.Kwan KLM ni shirika la nchi Gani?
Iko wapi hio apology?
Minister ndo anaandika aplogy..why hao KLM was issue public statement...tutajuaje Kama ni kweli wametutaka radhii
Nina mashaka kama hiyo statement imetoka kwa waziri, inawezekana imetengenezwa na uvccm...Minister ndo anaandika aplogy..why hao KLM was issue public statement...tutajuaje Kama ni kweli wametutaka radhii
Unaweweseka huku unapiga mbwewe baada ya kushiba udaga.Wanatumika na vyama vya upinzani, hasa ufipa
Waholanzi pamoja na Wafaransa hao. Wanajiita Royal Dutch Airlines.Kwan KLM ni shirika la nchi Gani?
CCM kuna majuha wengi sanaYule kibaraka wa mabeberu alidhani ujio wake utaleta civic unrest kwa hiyo mabwana zake wakatoa matangazo, watu wamempotezea, hakuna cha unrest, wala jamaa yake. Amalize tu hako ka ziara kake asepe kurudi kwa shoga yake rob amster atuachie Tanzania yetu.
Tunataka kuona hiyo apology document. Au Mbarawa amepigiwa simu wakamalizana tu kishkaji? Wali-post shutuma publicly, apology tunaitaka iwe hivyo hivyo pia
Udaga ndio niniUnaweweseka huku unapiga mbwewe baada ya kushiba udaga.
Utaujua ukila.Ni unga wa mihogo.Udaga ndio nini