Klopp aliwaza nini kumsajili Athur Melo?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Katika vitu vya kipuuzi kushuhudia pale Anfield ni usajili wa Melo Kutoka Juventus kuja Liverpool ili aokoe jahazi

Lakini matokeo yake hajacheza mechi hata moja Kama sijakosea na mwezi July anarud alikotoka

KLOPP inaonekana kocha mwenye kiburi asiyeshaurika kabisa

Kifupi MELO alikuja Liverpool kula Bata na muda wake wa kula Bata umefika Mwisho anarud kwao

Unamsajil mchezaj mgonjwa ili umtibie wewe inaonekana timu yetu n timu yenye huruma Sana tumemtibia melo kwa upendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Lenye mwanzo likakosa kuwa na Mwisho.

Umeandika ANDIKO safi sana mkuu.
Uandishi bora kabisa.

Kongole sana kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…