Klopp na Liverpool ni moto wa mabua, utazimika hivi karibuni

Klopp na Liverpool ni moto wa mabua, utazimika hivi karibuni

Endeleeni kuamini ubingwa ni wa Man City tu!!! Salah ameshaumia ORIGI ni kilaza mnakumbuka gem ya Man U? Alicheza hovyo!!!
 
Mkuu, ndio maana wamefuta uzi wako wa Lecister City
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humu ndani ukionekana una go against Liverpool basi wanafuta uzi wako mpaka nashangaa

Mwisho, kabisa unayosema inawezakuwa kweli koz mwaka jana walikuwa hapa ,ila ubingwa waliusikia tu kwenye bomba.
IMG_20191111_075616.jpeg
 
Endeleeni kuamini ubingwa ni wa man city tu!!!salah ameshaumia ORIGI ni kilaza mnakumbuka gem ya man u?alicheza hovyo!!!
 
Moderators naandaa uzi wangu halafu mnatoa taarifa **** siruhusiwi kutumia sehem ya postings!mnamaanisha nini?acheni udikteta!kama ni liverpool hata mi ni mshabiki sana tu ila nasema ukweli kuwa pasipo mbadala wa salah,mane firminho ubingwa utaenda city!klopp aache ubishi!asajili!!!
 
Back
Top Bottom