Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Tatizo LFC kwenye ligi anakutana na wapumbavu wengi Sana!!
Kama alivyokutana na Wapumbavu wa PSG, Bayern na Barcelona kwenye UCL akawafunga wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo LFC kwenye ligi anakutana na wapumbavu wengi Sana!!
Jamaa una teseka na Liverpool!!!!Endeleeni kuamini ubingwa ni wa Man City tu!!! Salah ameshaumia ORIGI ni kilaza mnakumbuka gem ya Man U? Alicheza hovyo!!!
Hivi viwatu vina mambo ya ajabuLiverpool FC hawajasema kama wameshachukua ubingwa.
Lakini wapinzani ndo mnaibuka na "Haitochukua".
Na origi akafunga mawiliWe jifurahishe hata mechi ya barca hao unaowasema walikuwa majeruhi na watu wakala 4-0
Msome Guardiola hapaMkuu, ndio maana wamefuta uzi wako wa Lecister City
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humu ndani ukionekana una go against Liverpool basi wanafuta uzi wako mpaka nashangaa
Mwisho, kabisa unayosema inawezakuwa kweli koz mwaka jana walikuwa hapa ,ila ubingwa waliusikia tu kwenye bomba.View attachment 1265596
Napoli anakuja kuwaweka hapo unfield subili tyMsome Guardiola hapa
“They are so good. They are maybe—no, not maybe, I’m pretty sure—the best team in the world running offensive-defensive transitions. They’re built for that, created for that.”
Subirini mwezi wa tano, muandae na kamba kabisa ya kujinyongea Liverpool akichukua Ubingwa wa EPL, sijui itakuwaje wakishinda bila kupoteza mechi au wakichukua back-to-back UCL.
M-mbabe no pretenders here!!i've been a kopite since my childhood!but truth to be told!klopp should adress the squad if he want to be on the front foot for two major trophies!!!dont u remembe in ucl final 2018 salah was injured and game over?lallana played with no impact at all!a true kopite should be sensitive to the weakness of his team!!!
Napoli anakuja kuwaweka hapo unfield subili ty
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuu, ila ukumbuke hata Leicester City wamechukua juzi juzi kwa mara ya kwanza. So hata Liverpool chochote kinawea kutokea.
Liverpool hajawahi kuchukua EPL alichukua ligi daraja la kwanza
Kwani mwaka jana wakati Liperpool anachukua UCL alikuwa hajapigwa mechi ya ugenini kwa Napoli?Napoli anakuja kuwaweka hapo unfield subili ty
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukirudia kusoma ulichoandika unaona umejibu post yangu?
Narudia: Leicester City alichukua EPL kwa mara ya kwanza 2016, na hakuwa amechukua kabla ya hapo. Nikasema hata Liverpool anaweza kuchukua pia, haina formula ya eti ambaye hajawahi kuchukua hawezi kuchukua.
What major trophies are you talking about?!klopp should adress the squad if he want to be on the front foot for two major trophies!
Umeambiwa Unfield na sio AnfieldNapoli huyu huyu ambaye ajashinda mechi tano zilizopita amfunge liverpool anfield. Atakula sio chini ya Tatu
Ceo wa jf ni mnazi wa Chelsea.Kajisikia vibaya unavyompa credit B Rogers kuliko F LampardKuna uzi nimepost sasa hivi kuhusu Brendan Rogers pale Leicester !nashangaa umepotea tu baada ya kupost kama mara tatu hv!moderators muwe makini tunapoteza nguvu zetu na kutukatisha tamaa!