mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Landcruisers ndio zinamudu safari ndefu?
Kwani hizi Kluger, Subaru Forester, Xtrail, Mark X, Vanguard, Noah.... ukipiga nazo ndefu, Dar - Songea au Dodoma - Kigoma zinachemsha njiani?
Eeeeh?
"Wamarekani wana mabarabara mazuri kwa hiyo wanataka gari zinazochanganya haraka"!
Kwani gari kubwa ndio accelaration zinakuwa kubwa zaidi?
Hayo mambo hivi kuna mahala authoritative umesoma au ni ma fikra yako tu ya kichwani mwako???
Mi siwezi kusema ni kwa nini ila ni kweli wamarekani wanaoenda gari zenye engine kubwa, hii ni fact sio mtazamo. Labda ni utamaduni au wana sababu nyingine kakini ni kweli wanapenda engine zenye nguvu na hawajali sana kuhusu fuel consumption