KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
NBC Premier League leo ljumaa. Saa 10:00 jioni KMC watakuwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora kuwaalika machampion watetezi Simba SC.

Simba Leo Wahitaji kushinda huu Mchezo kwa Hali na Mali, Kujiweka Sehemu nzuri na Mpinzani Wake mkubwa Yanga Ambaye Tarehe 26 atacheza na Biashara United. Simba mara ya mwisho ilicheza tarehe 11 Uwanja wa Mkapa, imekaa siku 14 sasa bila kucheza na Wanaenda kukutana na KMC katika Uwanja Ambao Sio Mzuri kivile.

Je, ni KMC ama Mnyama nani kuondoka na alama tatu?..Kandanda hili litakuwa LIVE HAPA kwa Dk 90 kuanzia Saa Kumi Jioni Ya Leo

UPDATE

FULL TIME

KMC 1 SIMBA SC 4
 
Msiseme sikuwaambia, hela ya xmas hio

 
Duh..... Wanyamwezi watajaa uwanjani
 
Kikosi kizuri, huyo Sakho inabidi acheze kwelikweli maana hapo alipo yupo kikaangoni, ni kama kawawekwa ili kuona kama zile sababu za waliokuwa wanamtetea zina mashiko au laah.
Kwa hiyo wanafanya majaribio na wakati sisi tunataka point tatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…