ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
NBC Premier League leo ljumaa. Saa 10:00 jioni KMC watakuwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora kuwaalika machampion watetezi Simba SC.
Simba Leo Wahitaji kushinda huu Mchezo kwa Hali na Mali, Kujiweka Sehemu nzuri na Mpinzani Wake mkubwa Yanga Ambaye Tarehe 26 atacheza na Biashara United. Simba mara ya mwisho ilicheza tarehe 11 Uwanja wa Mkapa, imekaa siku 14 sasa bila kucheza na Wanaenda kukutana na KMC katika Uwanja Ambao Sio Mzuri kivile.
Je, ni KMC ama Mnyama nani kuondoka na alama tatu?..Kandanda hili litakuwa LIVE HAPA kwa Dk 90 kuanzia Saa Kumi Jioni Ya Leo
UPDATE
FULL TIME
KMC 1 SIMBA SC 4