KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

Title ina KCMC
 
Mechi ingeisha tuanze shamra shamra za mkesha wa christmas
 
Kuna mchezajinwa KMC ana mbio sana, baada ya mpira kuisha nitamuomba kocha aniazime huyu mchezaji nimpe kazi ya kunikimbizia jogoo kwa ajili ya kesho
Bwege tu yule
 
Sidhani kama manula anauwezo wa kibinadamu kwenye ile mikono, ipo haja ya kuunda tume kwa ajili ya kuchunguza ile mikono
 
Pablo anachukizwa na namba referee msaidizi anavyofanya mabadiliko.

Mpaka ameghairisha Sub ya Wawa
 
Walitambua watafungwa. Sasa haiwezekani wafungwe na pesa ya kiingilio wakose ikiwa mechi ingepigwa Dar. Sasa wakaona isiwe taabu. Twende zetu Tabora tukajikusanyie pesa ndefu wao Simba acha wachukue tu point 3 na magoli yote

Hahahahaa mkaamua mtulete tabora
 
Daaah wawa kakataliwa live live so saad
 
Azam TV acheni uchonganishi na focus kwenye kuonyesha mpira sio kazi yenu hayo ni maswala binafsi tuachieni wenye timu
 
Utopolo wakiongozwa na Manara wamepata topic ya kujadili

Leo hawatajadili ushindi ni ile clip ya Pablo na Wawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…