ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Nahisi itakua ni kashfa kama za KabwiliIlikuaje waka muacha?
Imekuwaje?Nmeangalia mechi ya Costal Union na Mbeya City aisee bongo hatuna waamuzi
Kabwili alifanyajeNahisi itakua ni kashfa kama za kabwili
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mlitegemea nini kutoka kwao?
Kwani kashfa ya Kabwili inayotrend kwa sasa ni ipi?Kabwili alifanyaje
Wasenge sana wale nimewamaind kinoma, wanaleta undugunization kwenye kaziAkina Matola Walitaka Kumzunguka Pablo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani Matola na Hitimana Simba Waondokeeee
Nmeangalia mechi ya Costal Union na Mbeya City aisee bongo hatuna waamuzi
Msalimie mgambo aliyepiga mitamaView attachment 2055827Nipo uwanjani hapa. Ni burudani
Kwakweli bado sijaielewa Simba inavyopanga mashambulizi.Simba tuna kazi tunaenda kucheza Confederation kwa kuwatengemea KIBU ,MKUDE, MZAMIRU.
Hapana Sheria wakati wa COVID zile sub za wachezaji watano zinafanyika mara tatu tu. 2, 2,1. Sasa Kama ushaingiza wawili tayari then mmoja inamaana unabakiwa na sub ya mchezaji mmoja. Huyo mmoja aliyebaki hawezi Tena kuingizwa. Ndo maaana pale mwisho Wawa akiwa na mwenzie amezuiwa kuingia. Angeweza kuingia lakini tungekiuka kanuni na may be kupokwa pointsWasenge sana wale nimewamaind kinoma, wanaleta undugunization kwenye kazi
Ile penalty hadi aibuHalafu mwamuzi ni Yule Yule siku zote
Atakuwa anakula na anae panga waamuzi wa kuchezeshaHalafu mwamuzi ni Yule Yule siku zote
Yule mgambo itakuwa ni shabiki wa Utomsalimie mgambo aliyepiga mitama
wewe akili kubwa. wabongo wamejaa mihemko sanaHapana Sheria wakati wa COVID zile sub za wachezaji watano zinafanyika mara tatu tu. 2, 2,1. Sasa Kama ushaingiza wawili tayari then mmoja inamaana unabakiwa na sub ya mchezaji mmoja. Huyo mmoja aliyebaki hawezi Tena kuingizwa. Ndo maaana pale mwisho Wawa akiwa na mwenzie amezuiwa kuingia. Angeweza kuingia lakini tungekiuka kanuni na may be kupokwa points
Hongereni lkn ule mpira wa kmc ni kama mmepewa zawadi tu. Subirini tar 1 tuone kma mna makali.Yani mazuzu Fc hawaoni ushindi wetu
SawaHongereni lkn ule mpira wa kmc ni kama mmepewa zawadi tu. Subirini tar 1 tuone kma mna makali.