KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

Najaribu kufikiria hapa, kama wachezaji wa simba wana mafua na wamepiga mtu goli 4 bila kuruhusiwa kuingia na leso ya mafua. Kamasi wamepiga nike

Vipi kama wangeruhusiwa kuingia na leso?
 
Simba tuna kazi tunaenda kucheza Confederation kwa kuwatengemea KIBU ,MKUDE, MZAMIRU.
Kwakweli bado sijaielewa Simba inavyopanga mashambulizi.
Viungo hawana uthubutu wa kupunguza mabeki na kutoa assist za maana kwa mshambuliaji.
Mshambuliaji Hana uwezo wa kupunguza beki na hata kumiliki mpira!!!
Mugalu tafadhali Mungu akuponye haraka ili tusifedheheke huko mbele I.
 
Wasenge sana wale nimewamaind kinoma, wanaleta undugunization kwenye kazi
Hapana Sheria wakati wa COVID zile sub za wachezaji watano zinafanyika mara tatu tu. 2, 2,1. Sasa Kama ushaingiza wawili tayari then mmoja inamaana unabakiwa na sub ya mchezaji mmoja. Huyo mmoja aliyebaki hawezi Tena kuingizwa. Ndo maaana pale mwisho Wawa akiwa na mwenzie amezuiwa kuingia. Angeweza kuingia lakini tungekiuka kanuni na may be kupokwa points
 
wewe akili kubwa. wabongo wamejaa mihemko sana
 
Back
Top Bottom