KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

Watu walimshanga Metcha Mnata kwenye mechi dhidi ya Yanga. Lakini leo kimya. Sijui na huyu wa leo hitimisho lake ni lipi ni kwamba kipa mbovu au muuza mechi
 
Watu walimshanga Metcha Mnata kwenye mechi dhidi ya Yanga. Lakini leo kimya. Sijui hitimisho ni lipi ni kwamba kipa mbovu au muuza mechi
Kwani golikipa wa leo ni metacha au farouq shikalo?
 
Josh onyango ni king wa mipira ya kichwa, hapa sekunde mbili zilizopita kaokoa mpira kwa kichwa kwa kuurudisha nyuma aiseee huyu jamaa ni noma mazee
 
KMC walishauriwa na nani kupeleka mechi tabora?

Au wali miss asali ya tabora wakakosa sababu ya kuifata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…