ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wanaume wa kinondoni again
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mpaka alipwe pesa zake anazoidai Simba?Morrison hayupo nchini.
Alikwambia anadai?Si mpaka alipwe pesa zake anazoidai Simba?
Watu masikini huwa mnashinda sana.Si mpaka alipwe pesa zake anazoidai Simba?
Tulikubaliana kuwa mnyama hana timu au?Ni football au Basketball?
Mlitegemea nini kutoka kwao?KMC hawapo serious na maisha kabisa
Kwani golikipa wa leo ni metacha au farouq shikalo?Watu walimshanga Metcha Mnata kwenye mechi dhidi ya Yanga. Lakini leo kimya. Sijui hitimisho ni lipi ni kwamba kipa mbovu au muuza mechi
Stop dreaming dudeKMC piga makolo hao
Huyu Sakho ana movement nzuri sana
Sakho sio mchezaji mbaya, tatizo ni pressure ya mashabiki kutaka delivery nzuri kutoka kwake bila kujali muda anaopewa na status ya kiafya.Huyu Sakho ana movement nzuri sana