ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,340 Reaction score 4,069 Dec 24, 2021 #121 Kipa sijamkubali.
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 Dec 24, 2021 #122 Kmc wanafungwa magoli kwa uzembe wao
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 24, 2021 #123 Huyu kocha ni gwiji sana kwa mipira iliyokufa, nilianza kumuona kwenye ile mechi ambayo mzamiru alifunga mapema kipindi cha pili kilipoanza
Huyu kocha ni gwiji sana kwa mipira iliyokufa, nilianza kumuona kwenye ile mechi ambayo mzamiru alifunga mapema kipindi cha pili kilipoanza
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,214 Dec 24, 2021 #124 Simba [emoji91][emoji91].
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,641 Reaction score 11,958 Dec 24, 2021 #125 changaule said: Kmc wanafungwa magoli kwa uzembe wao Click to expand... Mtapigwa hivyo hivyo wot
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 24, 2021 #126 Kibuuuuuuuu
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,641 Reaction score 11,958 Dec 24, 2021 #127 Kibuuuuu hahaha
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Dec 24, 2021 #128 Xmas itakuwa muruaa sana
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 24, 2021 #129 Kibu anapiga goli la nne na lapili kwa upande wake
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 24, 2021 #130 Kumamake shuti hapa na kisarawe
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 Dec 24, 2021 #131 Kmc wanafungwaje na Mafua fc
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 24, 2021 #132 Mayele sijui anazipata hizi taarifa katika mood gani
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 24, 2021 #133 Mwana ukome
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Dec 24, 2021 #134 Gide MK said: Kmc wanafungwaje na Mafua fc Click to expand... Ndo utajua hujui
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Dec 24, 2021 #135 Shikalo hata mimi namfunga
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 24, 2021 #136 Kwa hali iliyofikia saizi manula angetoka golini akafanye utaratibu wa kutafuta maua christmas kwa ajili ya kesho
Kwa hali iliyofikia saizi manula angetoka golini akafanye utaratibu wa kutafuta maua christmas kwa ajili ya kesho
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,641 Reaction score 11,958 Dec 24, 2021 #137 Vipi kuhusu Kibu mna hoja gani?
Cicadulina JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 977 Reaction score 2,370 Dec 24, 2021 #138 Kibu Leo anatuproove wrong
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Dec 24, 2021 #139 Simba punguzeni kunipa raha
Cicadulina JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 977 Reaction score 2,370 Dec 24, 2021 #140 Dam55 said: Vipi kuhusu Kibu mna hoja gani? Click to expand... π³π³π³πππ