mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,266
Sio kweli KMC 1 2 SIMBAKakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika naaam tuangalie kipindi cha pili kitakuwaje
KMC 0- Simba 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli KMC 1 2 SIMBAKakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika naaam tuangalie kipindi cha pili kitakuwaje
KMC 0- Simba 2
Mi kila nikimuangalia kibu jamani natafutaga sana anaweza nini mpaka kocha ampange kikosi cha kwanza kila siku?! Kibu kwa kweli itabidi mnishawishi sionagi uchezaji wake.Huyu KIBU Simba walimuokota wapi jamaa akili ya mpira HANA
Kibuu tayari hukuMi kila nikimuangalia kibu jamani natafutaga sana anaweza nini mpaka kocha ampange kikosi cha kwanza kila siku?! Kibu kwa kweli itabidi mnishawishi sionagi uchezaji wake.
KibuuuKibu ni mchezaji wa hovyo sana
Sakho ni overrated player
Ilikuwaje yanga wakamsajili?Shikalo sio kipa
Shikalo sio kipa
Ilikuaje waka muacha?Ilikuwaje yanga wakamsajili?
Huyu jamaa ukimsema tuuKibuuu