KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

Kapombe hili tatizo kwake limekuwa sugu magoli ya aina hii ameshatufungisha sana kila akiruka kichwa hafikii mpira.
 
Huyu KIBU Simba walimuokota wapi jamaa akili ya mpira HANA
Mi kila nikimuangalia kibu jamani natafutaga sana anaweza nini mpaka kocha ampange kikosi cha kwanza kila siku?! Kibu kwa kweli itabidi mnishawishi sionagi uchezaji wake.
 
Mi kila nikimuangalia kibu jamani natafutaga sana anaweza nini mpaka kocha ampange kikosi cha kwanza kila siku?! Kibu kwa kweli itabidi mnishawishi sionagi uchezaji wake.
Kibuu tayari huku
 
Back
Top Bottom