3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Dakika ya 38 kipindi cha kwanza.
Kmc 0 - 1 AS Kigali
Mpira unaendelea goli limefungwa dakika ya 29 na Rashid Karisa.
Timu ya KMC wanapoteza sana nafasi.. Washambuliaji wa KMC Msuva, Kabunda na Aiyee wanapaswa kuongeza umakini zaidi.
Inawalazimu KMC kushinda mchezo huu sababu mchezo wa round ya kwanza kule Rwanda walitoka suluhu ya bila kufungana (0-0).
Agg- (0-1)
Full time
KMC 1-2 as Kigali.. KMC wanatolewa kwenye mashindano hatua ya awali kabisa baada ya kupoteza mchezo wa marudiano hapa nyumbani Tanzania na safari yao inaishia hapo.
Goli la KMC limefungwa na nahodha Yusuf Ndikumana kwa penati dakika ya 88.
kmc mjipange sio mbaya sana kwani ni mara ya kwanza kushiriki mashindano haya makubwa ya CAF.
Kama mna nia ya kufanya vizuri miaka ijayo basi msichoke kuboresha timu yenu.
Shukrani