KMC 1 Vs 2 AS Kigali; KMC yaondolewa mashindano ya CAF

KMC 1 Vs 2 AS Kigali; KMC yaondolewa mashindano ya CAF

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2017
Posts
6,172
Reaction score
6,884
Dakika ya 38 kipindi cha kwanza.

Kmc 0 - 1 AS Kigali

Mpira unaendelea goli limefungwa dakika ya 29 na Rashid Karisa.

Timu ya KMC wanapoteza sana nafasi.. Washambuliaji wa KMC Msuva, Kabunda na Aiyee wanapaswa kuongeza umakini zaidi.

Inawalazimu KMC kushinda mchezo huu sababu mchezo wa round ya kwanza kule Rwanda walitoka suluhu ya bila kufungana (0-0).

Agg- (0-1)

Full time

KMC 1-2 as Kigali.. KMC wanatolewa kwenye mashindano hatua ya awali kabisa baada ya kupoteza mchezo wa marudiano hapa nyumbani Tanzania na safari yao inaishia hapo.

Goli la KMC limefungwa na nahodha Yusuf Ndikumana kwa penati dakika ya 88.

kmc mjipange sio mbaya sana kwani ni mara ya kwanza kushiriki mashindano haya makubwa ya CAF.

Kama mna nia ya kufanya vizuri miaka ijayo basi msichoke kuboresha timu yenu.

Shukrani
 
Dakika ya 40'
Bado 0 - 1 As Kigali wanaoongoza
 
Zimeongezwa dakika 2 kukamilisha kipindi cha kwanza.

Kila la kheri KMC
 
Kama Kuwabeba Tuliwabeba Mkapata Nafac Ya Kushiriki! Sasa Mjibebe Wenyewe! Au Kisichoridhiki Hakiliki? Mbona Wakubebwa Wote Gongong'waje Na Kmc Mnaharibu Nyumbani? Kmc Komaeni Mlianza Vizur Ugenin Mnataka Kumaliza Vibaya Nyumban
 
Timu lako lenyewe linatolewa
Kama Kuwabeba Tuliwabeba Mkapata Nafac Ya Kushiriki! Sasa Mjibebe Wenyewe! Au Kisichoridhiki Hakiliki? Mbona Wakubebwa Wote Gongong'waje Na Kmc Mnaharibu Nyumbani? Kmc Komaeni Mlianza Vizur Ugenin Mnataka Kumaliza Vibaya Nyumban
 
Nasubiri maajabu ya KMC kupata goli 2 kwenye hii mechi
Kweli maajabu sababu droo haina msaada wowote kwa KMC.
Warudi 2nd half wasawazishe mapema goli, halafu wasake la ushindi.
 
Kama Kuwabeba Tuliwabeba Mkapata Nafac Ya Kushiriki! Sasa Mjibebe Wenyewe! Au Kisichoridhiki Hakiliki? Mbona Wakubebwa Wote Gongong'waje Na Kmc Mnaharibu Nyumbani? Kmc Komaeni Mlianza Vizur Ugenin Mnataka Kumaliza Vibaya Nyumban
Dua kwao wadogo zetu warudi kwenye game vzr wapate ushindi.
 
Kipindi cha pili kimeanza.
Mohamed Samatta na Vitalis Mayanga wameingia
Waliotoka ni Hilary na James Msuva
 
Dkk'50
KMC wanapiga kona hapa.. lakini wanapoteza, gorikipa wa AS KIGALI yuko chini anagangwa.
 
Dkk'63 gooaaal
Erick Sabimana anafunga goli la 2
KMC 0-2 AS KIGALI
 
Back
Top Bottom