Sawa Mzee Kilomoni tumekusikia.Kama Kuwabeba Tuliwabeba Mkapata Nafac Ya Kushiriki! Sasa Mjibebe Wenyewe! Au Kisichoridhiki Hakiliki? Mbona Wakubebwa Wote Gongong'waje Na Kmc Mnaharibu Nyumbani? Kmc Komaeni Mlianza Vizur Ugenin Mnataka Kumaliza Vibaya Nyumban
Sure, mambo ya dua kama huna uwezo unapigika tuMaandalizi ndio kila kitu... kuna wakati dua inawasaidia wachezaji wamalize game salama tu.
Mpira hauhitaji siasa kabisa,Kmc na Yanga wapo kisiasa sana wanadhania refarii atakuwa mkurugenziHizi Timu za Viti Maalum zitatuaibisha tuu hakuna namna, tiumu inayoweza kutusua pekee ni Simba
Na Mikia fc anza kutia maji, jiandaeni kisaikolojia, msichokiamini kinakuja kutokea.Kama Kuwabeba Tuliwabeba Mkapata Nafac Ya Kushiriki! Sasa Mjibebe Wenyewe! Au Kisichoridhiki Hakiliki? Mbona Wakubebwa Wote Gongong'waje Na Kmc Mnaharibu Nyumbani? Kmc Komaeni Mlianza Vizur Ugenin Mnataka Kumaliza Vibaya Nyumban
Wewe waache waendelee kuimba taarabuNa Mikia fc anza kutia maji, jiandaeni kisaikolojia, msichokiamini kinakuja kutokea.
Kmc ya nderagijeee na hii ya mayanja ni tofauti kabisa.Boniface Maganga na benchi la ufundi ndiyo wameinyima ushindi KMC
Dakika ya 38 kipindi cha kwanza.
Kmc 0 - 1 AS Kigali
Mpira unaendelea goli limefungwa dakika ya 29 na Rashid Karisa.
Timu ya KMC wanapoteza sana nafasi.. Washambuliaji wa KMC Msuva, Kabunda na Aiyee wanapaswa kuongeza umakini zaidi.
Inawalazimu KMC kushinda mchezo huu sababu mchezo wa round ya kwanza kule Rwanda walitoka suluhu ya bila kufungana (0-0).
Agg- (0-1)
Full time
KMC 1-2 as Kigali.. KMC wanatolewa kwenye mashindano hatua ya awali kabisa baada ya kupoteza mchezo wa marudiano hapa nyumbani Tanzania na safari yao inaishia hapo.
Goli la KMC limefungwa na nahodha Yusuf Ndikumana kwa penati dakika ya 88.
kmc mjipange sio mbaya sana kwani ni mara ya kwanza kushiriki mashindano haya makubwa ya CAF.
Kama mna nia ya kufanya vizuri miaka ijayo basi msichoke kuboresha timu yenu.
Shukrani
Kmc ya nderagijeee na hii ya mayanja ni tofauti kabisa.
Coach angekuwa nderagije wangepita,
Angefanya sub ya maana